1 Corinthians 3:21
Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore let no man glory in men. For all things are yours;
In Context
20tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.”
Cross References
Romans 4:13Kwa maana ile ahadi kwamba angeurithi ulimwengu haikuja kwa Abrahamu au kwa wazao wake kwa njia ya sheria bali kwa njia ya haki ipatikanayo kwa imani.
Romans 8:32Ikiwa Mungu hakumhurumia Mwanawe, bali alimtoa kwa ajili yetu sote, atakosaje basi kutupatia vitu vyote kwa ukarimu pamoja naye?
1 Corinthians 3:4Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida?
2 Corinthians 4:5Kwa maana hatujihubiri sisi wenyewe ila tunamhubiri Yesu Kristo kuwa ni Bwana na sisi ni watumishi wenu kwa ajili ya Yesu.
Revelation 21:7Yeye ashindaye atayarithi haya yote, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.