1 John 4:1
Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 14:15Mtu mjinga huamini kila kitu, 2 bali mwenye busara hufikiria hatua zake. 1
Jeremiah 29:8Naam, hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: “Msikubali manabii na wabashiri walioko miongoni mwenu wawadanganye. Msisikilize ndoto ambazo mmewatia moyo kuota.
Matthew 24:4Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye.
Mark 13:21Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo + 13:21 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki.
Luke 21:8Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa. Maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye,’ na, ‘Wakati umekaribia.’ Msiwafuate.
Acts 20:29Najua kwamba baada yangu kuondoka, mbwa mwitu wakali watakuja katikati yenu ambao hawatalihurumia kundi.