Mark 13:21
Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo + 13:21 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. huyu hapa!’ au, ‘Tazama, yuko kule,’ msisadiki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And then if any man shall say to you, Lo, here is Christ; or, lo, he is there; believe him not:
In Context
Cross References
Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,
Matthew 24:23Wakati huo kama mtu yeyote akiwaambia, ‘Tazama, Kristo huyu hapa!’ Au, ‘Kristo yuko kule,’ msisadiki.
Luke 21:8Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa. Maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, ‘Mimi ndiye,’ na, ‘Wakati umekaribia.’ Msiwafuate.