1 John 2:9
Yeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that saith he is in the light, and hateth his brother, is in darkness even until now.
In Context
10Yeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza.
Cross References
Psalms 82:5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. 2 Wanatembea gizani; 2 misingi yote ya dunia imetikisika. 1
Romans 2:18kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
2 Peter 1:9Lakini mtu yeyote asipokuwa na mambo haya haoni mbali, na ni kipofu, naye amesahau kule kutakaswa kutoka dhambi zake za zamani.
1 John 2:4Mtu yeyote asemaye kuwa, “Ninamjua,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, wala ndani ya mtu huyo hamna kweli.
1 John 3:13Ndugu zangu, ninyi msistaajabu kama ulimwengu ukiwachukia.