1 Kings 21:16
Ahabu aliposikia Nabothi amekufa, akainuka na kushuka ili kulichukua shamba la mizabibu la Nabothi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, Mtishbi:
Cross References
2 Samuel 4:9Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni, Mbeerothi, akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka taabu zote,
2 Samuel 11:26Mke wa Uria aliposikia kwamba mumewe amekufa, akamwombolezea.
2 Samuel 23:15Daudi akatamani maji, akasema, “Laiti mtu angenipatia maji ya kunywa kutoka kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu!”
Psalms 50:18Unapomwona mwizi, unaungana naye, 2 unapiga kura yako pamoja na wazinzi. 1
Obadiah 1:12Usingemdharau ndugu yako 2 katika siku ya msiba wake, 1 wala kufurahia juu ya watu wa Yuda 2 katika siku ya maangamizi yao, 1 wala kujigamba sana 2 katika siku ya taabu yao. 1
2 Peter 2:15Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa mshahara wa uovu.