Obadia 1:12
Usingemdharau ndugu yako 2 katika siku ya msiba wake, 1 wala kufurahia juu ya watu wa Yuda 2 katika siku ya maangamizi yao, 1 wala kujigamba sana 2 katika siku ya taabu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 31:29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, 2 au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 1
Psalms 31:18Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe, 2 kwa maana kwa kiburi na dharau 1 wao husema kwa majivuno 2 dhidi ya wenye haki. 1
Psalms 54:7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, 2 na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.
Psalms 92:11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, 2 masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu. 1
Proverbs 24:17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; 2 wakati ajikwaapo, 2 usiruhusu moyo wako ushangilie. 1
Lamentations 4:21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu, 2 wewe unayeishi nchi ya Usi. 1 Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa, 2 Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 1