1 Wafalme 22:13
Mjumbe aliyekuwa amekwenda kumwita Mikaya akamwambia, “Tazama, manabii wote kama mtu mmoja wanatabiri ushindi kwa mfalme. Neno lako na likubaliane na lao, nawe unene mema kuhusu mfalme.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, nitamwambia kile tu Bwana atakachoniambia.”
Cross References
Psalms 11:1Kwa Bwana ninakimbilia, 2 unawezaje basi kuniambia: 2 “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. 1
Psalms 50:21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1
Hosea 7:3“Wanamfurahisha sana mfalme kwa maovu yao, 2 wakuu wao kwa uongo wao. 1
Micah 2:6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1
1 Corinthians 2:14Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yatokayo kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni.