Micah 2:6
Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 30:10Wanawaambia waonaji, 2 “Msione maono tena!” 1 Nako kwa manabii wanasema, 2 “Msiendelee kutupatia maono 2 ambayo ni ya kweli! 1 Tuambieni mambo ya kupendeza, 2 tabirini mambo ya uongo. 1
Jeremiah 8:11Wanafunga majeraha ya watu wangu 2 bila uangalifu. 1 Wanasema, “Amani, amani,” 2 wakati hakuna amani. 1
Jeremiah 26:20(Wakati huu, Uria mwana wa Shemaya kutoka mji wa Kiriath-Yearimu alikuwa mtu mwingine aliyetoa unabii kwa jina la Bwana. Alitoa unabii juu ya mambo yaliyofanana na haya dhidi ya mji huu na nchi hii kama alivyofanya Yeremia.
Ezekiel 20:46“Mwanadamu, uelekeze uso wako upande wa kusini, hubiri juu ya upande wa kusini na utoe unabii juu ya msitu wa Negebu.
Amos 2:12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1
Amos 8:11“Siku zinakuja,” asema Bwana Mwenyezi, 2 “wakati nitakapotuma njaa katika nchi yote: 1 si njaa ya chakula wala kiu ya maji, 2 lakini njaa ya kusikia maneno ya Bwana. 1