bible.software › 1 Kings › 1 Kings 3 › 1 Kings 3:21
1 Kings 3:21
Asubuhi yake, nikaamka ili kumnyonyesha mwanangu, naye alikuwa amekufa! Lakini nilipomwangalia sana katika nuru ya asubuhi, niliona kuwa hakuwa yule mwana niliyekuwa nimemzaa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when I rose in the morning to give my child suck, behold, it was dead: but when I had considered it in the morning, behold, it was not my son, which I did bear.
In Context
20Hivyo akaondoka katikati ya usiku na kumchukua mwanangu kutoka ubavuni pangu wakati mimi mtumishi wako nilipokuwa nimelala. Akamweka kifuani mwake na kumweka mwanawe aliyekufa kifuani mwangu.
22Huyo mwanamke mwingine akasema, “Hapana! Mwana aliye hai ndiye wangu, aliyekufa ni wako.” Lakini yule wa kwanza akasisitiza, “Hapana! Mwana aliyekufa ni wako, aliye hai ni wangu.” Hivi ndivyo walivyobishana mbele ya mfalme.
Read all of 1 Kings 3
Cross References
Genesis 21:7Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.” 1 Hagari Na Ishmaeli Wafukuzwa
Lamentations 4:3Hata mbweha hutoa matiti yao 2 kunyonyesha watoto wao, 1 lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma 2 kama mbuni jangwani. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Kings 3:21