The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 4 › Lamentations 4:3

Lamentations 4:3

Hata mbweha hutoa matiti yao 2 kunyonyesha watoto wao, 1 lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma 2 kama mbuni jangwani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Even the sea monsters draw out the breast, they give suck to their young ones: the daughter of my people is become cruel, like the ostriches in the wilderness.

In Context

2Wana wa Sayuni wenye thamani, 2 ambao mwanzo uzito wa thamani yao 2 ulikuwa wa dhahabu, 1 sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo, 2 kazi ya mikono ya mfinyanzi! 1

4Kwa sababu ya kiu ulimi wa mtoto mchanga 2 umegandamana na kaakaa la kinywa chake, 1 watoto huomba mkate, 2 lakini hakuna yeyote awapaye. 1

Read all of Lamentations 4

Cross References

Deuteronomy 28:52Nao wataizingira miji yote katika nchi yako mpaka kuta ndefu za ngome ambazo unazitegemea zimeanguka. Watazingira miji yote katika nchi ambayo Bwana Mungu wako anakupa.

2 Kings 6:26Wakati mfalme wa Israeli alipokuwa anapita juu ya ukuta, mwanamke mmoja akamlilia, “Bwana wangu mfalme, nisaidie!”

Job 39:16Yeye huyafanyia makinda yake ukatili kama vile si yake; 2 hajali kwamba taabu yake inaweza ikawa bure, 1

Jeremiah 19:9Nitawafanya wao kula nyama ya wana wao na binti zao; kila mmoja atakula nyama ya mwenzake wakati wa dhiki ya kuzungukwa na jeshi lililowekwa juu yao na adui wanaotafuta uhai wao.’

Lamentations 4:10Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma 2 wanapika watoto wao wenyewe, 1 waliokuwa chakula chao 2 watu wangu walipoangamizwa. 1

Luke 23:28Yesu akawageukia, akawaambia, “Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi bali jililieni ninyi wenyewe na watoto wenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 4:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 4:2Lamentations 4Lamentations 4:4 →