1 Petro 1:24
Maana, 1 “Wanadamu wote ni kama majani, 2 nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; 1 majani hunyauka na maua huanguka, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Cross References
Psalms 37:2kwa maana kama majani watanyauka mara, 2 kama mimea ya kijani watakufa mara. 1
Psalms 92:7ingawa waovu huchipua kama majani 2 na wote watendao mabaya wanastawi, 2 wataangamizwa milele. 1
Psalms 103:15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, 2 anachanua kama ua la shambani; 1
Isaiah 40:6Sauti husema, “Piga kelele.” 2 Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” 1 “Wanadamu wote ni kama majani, 2 nao utukufu wao wote 2 ni kama maua ya kondeni. 1
James 4:14Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.