1 Petro 2:15
Kwa maana ni mapenzi ya Mungu kwamba kwa kutenda mema mnyamazishe maneno ya kijinga ya watu wapumbavu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For so is the will of God, that with well doing ye may put to silence the ignorance of foolish men:
In Context
Cross References
Job 2:10Akamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu + 2:10 Mpumbavu hapa ina maana ya kupungukiwa maadili. yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?” Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake. 1 Marafiki Watatu Wa Ayubu
Psalms 5:5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, 2 unawachukia wote watendao mabaya. 1
Proverbs 9:6Acheni njia zenu za ujinga nanyi mtaishi; 2 tembeeni katika njia ya ufahamu. 1
Matthew 7:26Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.
Romans 1:21Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza.
Ephesians 6:6Watiini, si tu wakati wakiwaona ili mpate upendeleo wao, bali mtumike kama watumwa wa Kristo, mkifanya mapenzi ya Mungu kwa moyo.