The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 12 › Mathayo 12:18

Mathayo 12:18

“Tazama mtumishi wangu niliyemchagua, 2 mpendwa wangu, ninayependezwa naye. 1 Nitaweka Roho wangu juu yake, 2 naye atatangaza haki kwa mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold my servant, whom I have chosen; my beloved, in whom my soul is well pleased: I will put my spirit upon him, and he shall shew judgment to the Gentiles.

In Context

17Hii ilikuwa ili litimie lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kusema: 1

19Hatagombana wala hatapiga kelele, 2 wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 1

Read all of Mathayo 12

Cross References

Psalms 89:19Ulizungumza wakati fulani katika maono, 2 kwa watu wako waaminifu, ukasema: 1 “Nimeweka nguvu kwa shujaa, 2 nimemwinua kijana miongoni mwa watu. 1

Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1

Isaiah 49:1Nisikilizeni, enyi visiwa, sikieni hili, 2 ninyi mataifa mlio mbali: 1 Kabla sijazaliwa, Bwana aliniita, 2 tangu kuzaliwa kwangu, amelitaja jina langu. 1

Isaiah 52:13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1

Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.

Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 12:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 12:17Mathayo 12Mathayo 12:19 →