1 Petro 3:12
Kwa maana macho ya Bwana 2 huwaelekea wenye haki, 1 na masikio yake yako makini 2 kusikiliza maombi yao. 1 Bali uso wa Bwana uko kinyume 2 na watendao maovu.” 1 Kuvumilia Mateso
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; 2 lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. 1
13Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?
Cross References
Leviticus 20:3Mimi nitauelekeza uso wangu dhidi ya mtu huyo, nami nitamkatilia mbali na watu wake. Kwa maana kwa kumtoa mmoja wa watoto wake kwa mungu Moleki, amenajisi madhabahu yangu na kulinajisi Jina langu takatifu.
Leviticus 26:17Nitauelekeza uso wangu dhidi yenu ili mshindwe na adui zenu; wale wanaowachukia watawatawala, nanyi mtakimbia ingawa hakuna mtu anayewafukuza.
2 Chronicles 7:15Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
Psalms 65:2Ewe usikiaye maombi, 2 kwako wewe watu wote watakuja. 1
Proverbs 15:3Macho ya Bwana yako kila mahali, 2 yakiwaangalia waovu na wema. 1