1 Petro 3:5
Kwa kuwa hivi ndivyo walivyokuwa wakijipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu. Wao walikuwa ni watiifu kwa waume zao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:1Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia Bwana, 2 katika Bwana pembe yangu imeinuliwa juu. 1 Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, 2 kwa kuwa naufurahia wokovu wako. 1
Proverbs 31:30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, 2 bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa. 1
Luke 2:37Hivyo alikuwa mjane na umri wake ulikuwa miaka themanini na minne. Yeye hakuondoka humo Hekaluni usiku wala mchana, bali alikuwa akimwabudu Mungu, akifunga na kuomba.
Acts 1:14Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Maria mama yake Yesu, pamoja na ndugu zake Yesu.
1 Timothy 2:10bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu.
1 Timothy 5:5Mwanamke ambaye ni mjane kweli kweli, yaani, yeye aliyebaki peke yake huweka tumaini lake kwa Mungu naye hudumu katika maombi usiku na mchana akimwomba Mungu ili amsaidie.