1 Petro 3:6
kama Sara alivyomtii mumewe Abrahamu, hata akamwita bwana. Ninyi ni watoto wa Sara kama mkitenda yaliyo mema, bila kuogopa jambo lolote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 18:15Sara akaogopa kwa kuwa alidanganya na kusema, “Mimi sikucheka.” Lakini Bwana akasema, “Ndiyo, ulicheka!” 1 Abrahamu Aiombea Sodoma
Isaiah 57:11“Ni nani uliyemhofu hivyo na kumwogopa 2 hata ukawa mwongo kwangu, 1 wala hukunikumbuka 2 au kutafakari hili moyoni mwako? 1 Si ni kwa sababu nimekuwa kimya muda mrefu 2 hata huniogopi? 1
Matthew 26:69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”
Acts 4:19Lakini Petro na Yohana wakajibu, “Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu.
Galatians 4:22Kwa maana imeandikwa kwamba Abrahamu alikuwa na wana wawili, mmoja wa mwanamke mtumwa na wa pili wa mwanamke huru.