The Bible Software
bible.software1 Petro1 Petro 3 › 1 Petro 3:7

1 Petro 3:7

Vivyo hivyo ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili, nanyi wapeni heshima mkitambua ya kuwa wao ni wenzi walio dhaifu, na kama warithi pamoja nanyi wa kipawa cha neema cha uzima, ili kusiwepo na chochote cha kuzuia maombi yenu. 1 Kuteseka Kwa Kutenda Mema

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Likewise, ye husbands, dwell with them according to knowledge, giving honour unto the wife, as unto the weaker vessel, and as being heirs together of the grace of life; that your prayers be not hindered.

In Context

6kama Sara alivyomtii mumewe Abrahamu, hata akamwita bwana. Ninyi ni watoto wa Sara kama mkitenda yaliyo mema, bila kuogopa jambo lolote.

8Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu.

Read all of 1 Petro 3

Cross References

Genesis 2:23Huyo mwanaume akasema, 1 “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu 2 na nyama ya nyama yangu, 1 ataitwa ‘mwanamke,’ + 2:23 Jina la Kiebrania la mwanamke linafanana na lile la mwanaume. 2 kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”

Proverbs 5:15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, 2 maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 1

Matthew 5:23“Kwa hiyo, kama unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako,

Matthew 19:3Baadhi ya Mafarisayo wakamjia ili kumjaribu, wakamuuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?”

1 Corinthians 7:3Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, naye vivyo hivyo mke kwa mumewe.

Ephesians 3:6Siri hii ni kwamba, kwa njia ya Injili, watu wa Mataifa ni warithi pamoja na Israeli, viungo vya mwili mmoja na washiriki pamoja wa ahadi katika Kristo Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Petro 3:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Petro 3:61 Petro 31 Petro 3:8 →