1 Peter 3:8
Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 28:8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno 2 hukusanya kwa ajili ya mwingine, 2 ambaye atawahurumia maskini. 1
Matthew 18:33Je, haikukupasa kumhurumia mtumishi mwenzako kama mimi nilivyokuhurumia wewe?’
Acts 2:1Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja.
Acts 27:3Kesho yake tukatia nanga Sidoni, naye Juliasi akamfanyia wema Paulo, akamruhusu aende kwa rafiki zake ili wamtimizie mahitaji yake.
Romans 12:10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
Romans 15:5Mungu atoaye saburi na faraja, awajalie ninyi roho ya umoja miongoni mwenu mnapomfuata Kristo Yesu,