Mark 13:20
Kama Bwana asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:9Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote + 1:9 Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4. 2 asingelituachia walionusurika, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora. 1
Isaiah 65:8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama vile divai mpya ingali bado inapatikana 2 katika kishada cha zabibu, 1 nao watu husema, ‘Usikiharibu, 2 kwa kuwa bado kuna kitu kizuri ndani yake,’ 1 hivyo ndivyo nitakavyofanya kwa ajili ya watumishi wangu; 2 sitawaangamiza wote. 1
Matthew 24:22Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna hata mtu mmoja ambaye angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, siku hizo zitafupizwa.
Romans 11:23Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.