The Bible Software
bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 11 › 1 Samweli 11:13

1 Samweli 11:13

Lakini Sauli akasema, “Hakuna hata mmoja atakayeuawa leo, kwa kuwa siku hii Bwana ameokoa Israeli.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Saul said, There shall not a man be put to death this day: for to day the LORD hath wrought salvation in Israel.

In Context

12Kisha watu wakamwambia Samweli, “Ni nani yule aliyeuliza, ‘Je, Sauli atatawala juu yetu?’ Tuletee hawa watu, nasi tutawaua.”

14Ndipo Samweli akawaambia watu, “Njooni, twendeni Gilgali na huko tuthibitishe ufalme.”

Read all of 1 Samweli 11

Cross References

Exodus 14:30Siku ile Bwana akawaokoa Waisraeli kutoka mikononi mwa Wamisri, nao Waisraeli wakawaona Wamisri wamelala ufuoni mwa bahari wakiwa wamekufa.

1 Samuel 19:5Alihatarisha maisha yake alipomuua yule Mfilisti. Bwana akajipatia ushindi mkubwa kwa ajili ya Israeli wote, nawe uliuona na ukafurahi. Kwa nini basi utende mabaya kwa mtu asiye na hatia kama Daudi kwa kumuua bila sababu?”

2 Samuel 19:23Basi mfalme akamwambia Shimei, “Hutakufa.” Naye mfalme akamwahidi kwa kiapo.

Isaiah 59:16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 11:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 11:121 Samweli 111 Samweli 11:14 →