The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:16

Isaiah 59:16

Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja, 2 akashangaa kwamba hakuwepo hata mmoja wa kuingilia kati; 1 hivyo mkono wake mwenyewe 2 ndio uliomfanyia wokovu, 1 nayo haki yake mwenyewe 2 ndiyo iliyomtegemeza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he saw that there was no man, and wondered that there was no intercessor: therefore his arm brought salvation unto him; and his righteousness, it sustained him.

In Context

15Kweli haipatikani popote, 2 na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. 1 Bwana alitazama naye akachukizwa 2 kwamba hapakuwepo haki. 1

17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Psalms 94:16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu? 2 Ni nani atakayenikinga dhidi ya watenda maovu? 1

Psalms 106:23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: 2 kama Mose mteule wake, 1 asingesimama kati yao na Mungu 2 kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 1

Isaiah 50:2Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja? 2 Nilipoita, kwa nini hakuwepo hata mmoja wa kujibu? 1 Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? 2 Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? 1 Kwa kukemea tu naikausha bahari, 2 naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; 1 samaki wake wanaoza kwa kukosa maji 2 na kufa kwa ajili ya kiu. 1

Isaiah 52:10Mkono mtakatifu wa Bwana umefunuliwa 2 machoni pa mataifa yote, 1 nayo miisho yote ya dunia itaona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1

Isaiah 62:8Bwana ameapa kwa mkono wake wa kuume 2 na kwa mkono wake wenye nguvu: 1 “Kamwe sitawapa tena adui zenu 2 nafaka zenu kama chakula chao; 1 kamwe wageni hawatakunywa tena 2 divai mpya ambayo mmeitaabikia, 1

Isaiah 63:5Nilitazama, lakini hakuwepo yeyote wa kunisaidia, 2 nilishangaa kwa kuwa hakuwepo yeyote aliyetoa msaada; 1 hivyo mkono wangu wenyewe ndio ulionifanyia wokovu, 2 na ghadhabu yangu mwenyewe ndiyo iliyonitegemeza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:15Isaiah 59Isaiah 59:17 →