bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 13 › 1 Samweli 13:10
1 Samweli 13:10
Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, that as soon as he had made an end of offering the burnt offering, behold, Samuel came; and Saul went out to meet him, that he might salute him.
In Context
9Basi akasema, “Nileteeni hapa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani.” Naye Sauli akatoa sadaka ya kuteketezwa.
11Samweli akamuuliza, “Umefanya nini?” Sauli akajibu, “Nilipoona kwamba watu wanatawanyika, na kwamba hukuja wakati uliopangwa na kwamba Wafilisti walikuwa wakikusanyika huko Mikmashi,
Read all of 1 Samweli 13
Cross References
Ruth 2:4Papo hapo Boazi akarudi kutoka Bethlehemu, akawasalimu wavunaji, akasema, “ Bwana awe nanyi!” Nao wakamjibu, “ Bwana akubariki.”
Psalms 129:8Wale wapitao karibu na wasiseme, 2 “Baraka ya Bwana iwe juu yako; 2 tunakubariki katika jina la Bwana.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Samweli 13:10