The Bible Software
bible.software1 Samweli1 Samweli 13 › 1 Samweli 13:9

1 Samweli 13:9

Basi akasema, “Nileteeni hapa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani.” Naye Sauli akatoa sadaka ya kuteketezwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Saul said, Bring hither a burnt offering to me, and peace offerings. And he offered the burnt offering.

In Context

8Akangoja kwa siku saba, muda uliowekwa na Samweli; lakini Samweli hakuja Gilgali, nao watu wa Sauli wakaanza kutawanyika.

10Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki.

Read all of 1 Samweli 13

Cross References

Deuteronomy 12:6hapo ndipo mtakapoleta sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo zenu, kile ulichoweka nadhiri kutoa, sadaka zenu za hiari na malimbuko ya makundi yenu ya ngʼombe pamoja na mbuzi na kondoo.

1 Samuel 14:18Sauli akamwambia Ahiya, “Leta Sanduku la Mungu.” (Wakati huo lilikuwa kwa Waisraeli.)

2 Samuel 24:25Kisha Daudi akamjengea Bwana madhabahu mahali hapo, na kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Kisha Bwana akajibu kwa ajili ya nchi, nayo tauni ikakoma katika Israeli.

Psalms 37:7Tulia mbele za Bwana 2 na umngojee kwa uvumilivu; 1 usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao, 2 wanapotekeleza mipango yao miovu. 1

Proverbs 20:22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” 2 Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 1

Proverbs 21:27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 13:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 13:81 Samweli 131 Samweli 13:10 →