1 Samweli 2:1
Kisha Hana akaomba na kusema: 1 “Moyo wangu wamshangilia Bwana, 2 katika Bwana pembe yangu imeinuliwa juu. 1 Kinywa changu chajisifu juu ya adui zangu, 2 kwa kuwa naufurahia wokovu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1
Judges 5:1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu: 1
1 Samuel 1:7Hili liliendelea mwaka baada ya mwaka. Kila mara Hana alipokwenda katika nyumba ya Bwana, mke mwenzake alikuwa akimkasirisha mpaka analia na kushindwa kula.
2 Chronicles 20:27Kisha watu wote wa Yuda na Yerusalemu, wakiongozwa na Yehoshafati, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kwa kuwa Bwana alikuwa amewasababisha wafurahi juu ya adui zao.
Psalms 9:14ili niweze kutangaza sifa zako 2 katika malango ya Binti Sayuni 2 na huko niushangilie wokovu wako. 1
Psalms 18:2Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 Mungu wangu ni mwamba, 2 ambaye kwake ninakimbilia. 1 Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, 2 ngome yangu. 1