1 Samweli 2:11
Kisha Elikana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za Bwana chini ya kuhani Eli. 1 Wana Waovu Wa Eli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu Bwana.
Cross References
1 Samuel 1:28Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana.” Naye akamwabudu Bwana huko.
1 Samuel 3:1Kijana Samweli alihudumu mbele za Bwana chini ya Eli. Katika siku zile neno la Mungu lilikuwa adimu, hapakuwepo na maono mengi.