1 Samweli 3:1
Kijana Samweli alihudumu mbele za Bwana chini ya Eli. Katika siku zile neno la Mungu lilikuwa adimu, hapakuwepo na maono mengi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:18Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani.
1 Samuel 3:21Bwana akaendelea kutokea huko Shilo, na huko kujidhihirisha kwa Samweli kwa njia ya neno lake.
Isaiah 13:12Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, 2 watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. 1