1 Samweli 2:23
Hivyo akawaambia, “Kwa nini mmefanya mambo kama haya? Nimesikia kutoka kwa watu wote juu ya haya matendo yenu maovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said unto them, Why do ye such things? for I hear of your evil dealings by all this people.
In Context
24Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ambayo ninasikia ikienea miongoni mwa watu wa Bwana.
Cross References
1 Kings 1:6(Baba yake hakuwa ameingilia na kumuuliza, “Kwa nini unafanya hivyo?” Alikuwa pia kijana mzuri sana wa sura, na alizaliwa baada ya Absalomu.)
Jeremiah 3:3Kwa hiyo mvua imezuiliwa, 2 nazo mvua za vuli hazikunyesha. 1 Hata hivyo, una uso usio na haya kama wa kahaba; 2 unakataa kutahayari kwa aibu. 1
Acts 9:4Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”
Philippians 3:19Mwisho wa watu hao ni maangamizi, Mungu wao ni tumbo, na utukufu wao ni aibu, na mawazo yao yamo katika mambo ya dunia.