Wafilipi 3:19
Mwisho wa watu hao ni maangamizi, Mungu wao ni tumbo, na utukufu wao ni aibu, na mawazo yao yamo katika mambo ya dunia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:29Kwa nini unadharau dhabihu zangu na sadaka zile nilizoziamuru kwa ajili ya makao yangu? Kwa nini unawaheshimu wanao kuliko mimi kwa kujinenepesha wenyewe kwa kula sehemu zilizo bora za kila sadaka zinazotolewa na watu wangu wa Israeli?’
Psalms 17:14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, 2 kutokana na watu wa ulimwengu huu 2 ambao fungu lao liko katika maisha haya. 1 Na wapate adhabu ya kuwatosha. 2 Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, 2 hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 1
Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1
Ezekiel 34:3Mnakula mafuta ya wanyama, mnavaa mavazi ya sufu na kuchinja kondoo walionona, lakini hamlitunzi kundi.
Micah 3:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu, 2 mtu akiwalisha, 2 wanatangaza ‘amani’; 1 kama hakufanya hivyo, 2 wanaandaa kupigana vita dhidi yake. 1
Habakkuk 2:15“Ole wake yeye awapaye jirani zake kileo, 2 akiimimina kutoka kwenye kiriba 2 cha mvinyo mpaka wamelewa, 2 ili apate kutazama miili yao iliyo uchi. 1