1 Samweli 2:4
“Pinde za mashujaa zimevunjika, 2 lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The bows of the mighty men are broken, and they that stumbled are girded with strength.
In Context
Cross References
Psalms 37:17kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa, 2 lakini Bwana humtegemeza mwenye haki. 1
Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1
Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1
Jeremiah 37:10Hata kama mngelishinda jeshi lote la Wakaldayo linalowashambulia ninyi, na wakawa ni watu waliojeruhiwa tu waliobaki kwenye mahema yao, wangetoka na kuuchoma mji huu moto.”
2 Corinthians 4:9twateswa lakini hatuachwi; twatupwa chini lakini hatupondwi.
Ephesians 6:14Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,