1 Samuel 20:21
Kisha nitamtuma mvulana na kumwambia, ‘Nenda ukaitafute mishale.’ Kama nikimwambia, ‘Tazama mishale iko upande huu wako! Uilete hapa,’ basi uje, kwa sababu hakika kama Bwana aishivyo, wewe ni salama, hakuna hatari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Nitapiga mishale mitatu kando yake, kama kwamba nilikwenda kulenga shabaha.
Cross References
Jeremiah 5:2Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’ 2 bado wanaapa kwa uongo.” 1
Amos 8:14Wale waapao kwa aibu ya Samaria, 2 au kusema, ‘Hakika kama miungu yenu iishivyo, ee Dani,’ 1 au ‘Hakika kama mungu wa Beer-Sheba aishivyo’: 2 wataanguka, wala hawatasimama tena.”