Yeremia 5:2
Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’ 2 bado wanaapa kwa uongo.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And though they say, The LORD liveth; surely they swear falsely.
In Context
Cross References
Isaiah 48:1“Sikilizeni hili, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi mnaoitwa kwa jina la Israeli, 2 na mnaotoka katika ukoo wa Yuda, 1 ninyi mnaoapa kwa jina la Bwana, 2 mnaomwomba Mungu wa Israeli, 2 lakini si katika kweli au kwa haki; 1
Jeremiah 7:9“ ‘Je, mtaiba na kuua, mtazini na kuapa kwa uongo, na kufukiza uvumba kwa Baali, na kufuata miungu mingine ambayo hamkuijua,
Hosea 4:1Sikieni neno la Bwana, enyi Waisraeli, 2 kwa sababu Bwana analo shtaka 2 dhidi yenu ninyi mnaoishi katika nchi: 1 “Hakuna uaminifu, hakuna upendo, 2 hakuna kumjua Mungu katika nchi. 1
Hosea 4:15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1
Zechariah 5:3Akaniambia, “Hii ni laana inayotoka kwenda juu ya nchi yote, kwa kuwa kufuatana na yale yaliyoandikwa katika upande mmoja, kila mwizi atafukuziwa mbali, pia kufuatana na yaliyo upande wa pili, kila aapaye kwa uongo atafukuziwa mbali.
1 Timothy 1:10kwa wazinzi na wahanithi, kwa wale wauzao watu, na kwa waongo na waapao kwa uongo, na kwa chochote kingine kilicho kinyume na mafundisho ya kweli,