Amosi 8:14
Wale waapao kwa aibu ya Samaria, 2 au kusema, ‘Hakika kama miungu yenu iishivyo, ee Dani,’ 1 au ‘Hakika kama mungu wa Beer-Sheba aishivyo’: 2 wataanguka, wala hawatasimama tena.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13“Katika siku ile 1 “wasichana wazuri na vijana wanaume wenye nguvu 2 watazimia kwa sababu ya kiu. 1
Cross References
Deuteronomy 33:11Ee Bwana, bariki ustadi wake wote, 2 nawe upendezwe na kazi ya mikono yake. 1 Vipige viuno vya wale wainukao dhidi yake; 2 wapige adui zake hata wasiinuke tena.”
1 Kings 12:29Ndama mmoja akamweka Betheli na mwingine Dani.
1 Kings 13:22bali ulirudi na ukala mkate na kunywa maji mahali ambapo alikuambia usile wala usinywe. Kwa hiyo maiti yako haitazikwa katika kaburi la baba zako.’ ”
1 Kings 16:24Alinunua kilima cha Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili + 16:24 Talanta mbili za fedha ni sawa na kilo 70. za fedha na akajenga mji juu ya hicho kilima, akiuita Samaria, kutokana na Shemeri, jina la mmiliki wa kwanza wa kilima hicho.
2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Psalms 140:10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie! 2 Na watupwe motoni, 1 katika mashimo ya matope, 2 wasiinuke tena kamwe. 1