1 Samweli 3:2
Usiku mmoja Eli, ambaye macho yake yalikuwa yamefifia sana kiasi kwamba aliona kwa shida sana, alikuwa amelala mahali pake pa kawaida.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:1Isaki alipokuwa mzee na macho yake yalipokuwa yamekosa nguvu asiweze kuona tena, akamwita Esau mwanawe mkubwa, akamwambia, “Mwanangu.” Akajibu, “Mimi hapa.”
Genesis 48:19Lakini baba yake akakataa, akasema, “Ninajua, mwanangu, ninajua. Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, nao wazao wake watakuwa kundi la mataifa.”
1 Samuel 4:15wakati huu Eli alikuwa na miaka tisini na minane nayo macho yake yalikuwa yamepofuka na hakuweza kuona.
Ecclesiastes 12:3siku ile walinzi wa nyumba watakapotetemeka, 2 nao watu wenye nguvu watakapojiinamisha, 1 wakati wasagao watakapokoma kwa sababu ya uchache, 2 nao wachunguliao madirishani kutiwa giza; 1