The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 13 › Isaiah 13:12

Isaiah 13:12

Nitawafanya wanadamu kuwa adimu kuliko dhahabu safi, 2 watakuwa wachache sana kuliko dhahabu ya Ofiri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will make a man more precious than fine gold; even a man than the golden wedge of Ophir.

In Context

11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1

13Kwa hiyo nitazifanya mbingu zitetemeke, 2 nayo dunia itatikisika kutoka mahali pake 1 katika ghadhabu ya Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 katika siku ya hasira yake iwakayo. 1

Read all of Isaiah 13

Cross References

1 Chronicles 1:23Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani. 2

Psalms 137:9yeye ambaye atawakamata watoto wako wachanga 2 na kuwaponda juu ya miamba.

Isaiah 10:19Nayo miti inayobaki katika misitu yake itakuwa michache sana 2 hata mtoto mdogo angeweza kuihesabu. 1 Mabaki Ya Israeli 1

Isaiah 24:6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, 2 watu wake lazima waichukue hatia yao. 1 Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, 2 nao waliosalia ni wachache sana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 13:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 13:11Isaiah 13Isaiah 13:13 →