1 Samweli 5:2
Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Baada ya Wafilisti kuteka Sanduku la Mungu, walilichukua kutoka Ebenezeri mpaka Ashdodi.
Cross References
1 Chronicles 10:10Waliweka silaha zake katika hekalu la miungu yao, wakatundika kichwa chake katika hekalu la Dagoni.
Daniel 5:23Badala yake, umejiinua dhidi ya Bwana wa mbingu. Uliletewa vikombe vya Hekalu lake, nawe na wakuu wako, wake zako na masuria wako mlivitumia kwa kunywea mvinyo. Ukaisifu miungu ya fedha na dhahabu, ya shaba, chuma, miti na mawe, miungu ambayo haiwezi kuona, au kusikia wala kufahamu. Lakini hukumheshimu Mungu ambaye anaushikilia uhai wako na njia zako zote mkononi mwake.
Habakkuk 1:16Kwa hiyo anatoa kafara kwa wavu wake, 2 na kuchoma uvumba kwa juya lake, 1 kwa kuwa kwa wavu wake anaishi kwa starehe, 2 na anafurahia chakula kizuri. 1