The Bible Software
bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 5 › 1 Samweli 5:3

1 Samweli 5:3

Watu wa Ashdodi walipoamka asubuhi na mapema kesho yake, kumbe, wakamkuta Dagoni ameanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Bwana! Wakamwinua Dagoni na kumrudisha mahali pake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when they of Ashdod arose early on the morrow, behold, Dagon was fallen upon his face to the earth before the ark of the LORD. And they took Dagon, and set him in his place again.

In Context

2Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni.

4Lakini asubuhi iliyofuata, walipoamka kumbe, walimkuta huyo Dagoni ameanguka chini kifudifudi mbele ya Sanduku la Bwana! Kichwa chake na mikono vilikuwa vimevunjwa navyo vimelala kizingitini, ni kiwiliwili chake tu kilichokuwa kimebaki.

Read all of 1 Samweli 5

Cross References

1 Samuel 6:1Sanduku la Bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,

Psalms 97:7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, 2 wale wajisifiao sanamu: 2 mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 1

Isaiah 19:1Neno kuhusu Misri: 1 Tazama, Bwana amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka 2 naye anakuja Misri. 1 Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, 2 nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 1

Isaiah 41:7Fundi humtia moyo sonara, 2 yeye alainishaye kwa nyundo 2 humhimiza yeye agongeaye kwenye fuawe, 1 Humwambia yeye aunganishaye, “Ni kazi njema.” 2 Naye huikaza sanamu kwa misumari ili isitikisike. 1

Isaiah 46:1Beli anasujudu hadi nchi, Nebo anainama; 2 sanamu zao zabebwa na wanyama wa mizigo. 1 Vinyago hivi mnavyobeba kila mahali ni mzigo wa kulemea, 2 mzigo kwa waliochoka. 1

Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 5:21 Samweli 51 Samweli 5:4 →