1 Samweli 7:4
Hivyo Waisraeli wakaweka mbali Mabaali yao na Maashtorethi, nao wakamtumikia Bwana peke yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the children of Israel did put away Baalim and Ashtaroth, and served the LORD only.
In Context
5Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa Bwana.”
Cross References
Judges 2:13kwa sababu walimwacha na kutumikia Baali na Maashtorethi.
Judges 10:16Nao wakaiondoa hiyo miungu migeni katikati yao nao wakamtumikia Bwana. Naye akahuzunika kwa sababu ya taabu ya Israeli.
2 Kings 23:15Hata madhabahu yaliyokuwa huko Betheli, mahali pa juu pa kuabudia miungu palipokuwa pamejengwa na Yeroboamu mwana wa Nebati, ambaye aliwafanya Israeli watende dhambi, alibomoa hata hayo madhabahu na mahali pa juu pa kuabudia miungu. Alipateketeza kwa moto hapo mahali pa juu pa kuabudia miungu na kupasaga hadi pakawa vumbi, na kuichoma hiyo nguzo ya Ashera pia.
Hosea 14:8Ee Efraimu, nina shughuli gani tena na sanamu? 2 Nitamjibu na kumtunza. 1 Mimi ni kama msunobari wenye majani mabichi; 2 kuzaa kwako matunda kunatoka kwangu.” 1