Hosea 14:8
Ee Efraimu, nina shughuli gani tena na sanamu? 2 Nitamjibu na kumtunza. 1 Mimi ni kama msunobari wenye majani mabichi; 2 kuzaa kwako matunda kunatoka kwangu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Isaiah 41:19Katika jangwa nitaotesha 2 mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. 1 Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku 2 pamoja huko nyikani, 1
Isaiah 60:13“Utukufu wa Lebanoni utakujilia, 2 msunobari, mvinje pamoja na mteashuri, 1 ili kupapamba mahali pangu patakatifu, 2 nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu. 1
Hosea 14:2Chukueni maneno pamoja nanyi, 2 mkamrudie Bwana. 1 Mwambieni: 2 “Samehe dhambi zetu zote 1 na utupokee kwa neema, 2 ili tuweze kutoa matunda yetu 2 kama sadaka za mafahali. 1
John 1:16Kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema juu ya neema.
John 15:1“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.