1 Samweli 7:5
Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Samuel said, Gather all Israel to Mizpeh, and I will pray for you unto the LORD.
In Context
4Hivyo Waisraeli wakaweka mbali Mabaali yao na Maashtorethi, nao wakamtumikia Bwana peke yake.
Cross References
Joshua 18:26Mispa, Kefira, Moza,
1 Samuel 7:12Ndipo Samweli akachukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni. Akaliita Ebenezeri, + 7:12 Ebenezeri maana yake jiwe la usaidizi. akisema, “Hata sasa Bwana ametusaidia.”
1 Samuel 10:17Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Bwana huko Mispa,
2 Kings 25:23Maafisa wote wa jeshi na watu wao waliposikia kwamba mfalme wa Babeli amemteua Gedalia kuwa mtawala, wakamjia Gedalia huko Mispa. Hawa walikuwa Ishmaeli mwana wa Nethania, Yohanani mwana wa Karea, Seraya mwana wa Tanhumethi Mnetofathi, na Yezania mwana wa Mmaaka, pamoja na watu wao.
Hosea 5:1“Sikieni hili, enyi makuhani! 2 Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! 1 Sikieni, ee nyumba ya mfalme! 2 Hukumu hii ni dhidi yenu: 1 Mmekuwa mtego huko Mispa, 2 wavu uliotandwa juu ya Tabori. 1