Hosea 5:1
“Sikieni hili, enyi makuhani! 2 Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! 1 Sikieni, ee nyumba ya mfalme! 2 Hukumu hii ni dhidi yenu: 1 Mmekuwa mtego huko Mispa, 2 wavu uliotandwa juu ya Tabori. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Waasi wamezidisha sana mauaji. 2 Mimi nitawatiisha wote. 1
Cross References
Judges 4:12Sisera alipoambiwa kuwa Baraka mwana wa Abinoamu alikuwa amepanda Mlima Tabori,
1 Samuel 7:6Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za Bwana. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana.” Naye Samweli alikuwa kiongozi + 7:6 Kiongozi hapa maana yake mwamuzi. wa Israeli huko Mispa.
1 Kings 14:7Nenda, ukamwambie Yeroboamu kwamba hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikuinua miongoni mwa watu na kukufanya kiongozi juu ya watu wangu Israeli.
2 Chronicles 21:12Yehoramu akapokea barua kutoka kwa nabii Eliya iliyosema: “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Daudi baba yako, asemalo: ‘Hukuenenda katika njia za Yehoshafati baba yako au za Asa mfalme wa Yuda.
Jeremiah 13:18Mwambie mfalme na mamaye, 2 “Shukeni kutoka kwenye viti vyenu vya enzi, 1 kwa kuwa taji zenu za utukufu 2 zitaanguka kutoka vichwani mwenu.” 1
Jeremiah 46:18“Kwa hakika kama niishivyo,” asema Mfalme, 2 ambaye jina lake ni Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “mmoja atakuja ambaye ni kama Tabori miongoni mwa milima, 2 kama Karmeli kando ya bahari. 1