Numbers 22:20
Usiku ule Bwana akamjia Balaamu na kumwambia, “Kwa kuwa watu hawa wamekuja kukuita wewe, nenda nao, lakini ufanye tu lile nitakalokuambia.” 1 Punda Wa Balaamu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Balaamu akaamka asubuhi, akatandika punda wake akaenda pamoja na wakuu wa Moabu.
Cross References
Numbers 23:5Bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Numbers 23:16Bwana akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Numbers 24:13‘Hata ikiwa Balaki angenipa jumba lake la kifalme likiwa limejazwa fedha na dhahabu, nisingeweza kufanya kitu chochote kwa matakwa yangu, kikiwa kizuri au kibaya, kwenda kinyume na agizo la Bwana, nami imenipasa kusema tu kile Bwana atakachosema’?
1 Samuel 12:12“Lakini mlipomwona yule Nahashi mfalme wa Waamoni anakuja dhidi yenu, mliniambia, ‘Hapana, tunataka mfalme atutawale,’ hata ingawa Bwana Mungu wenu alikuwa mfalme wenu.
Psalms 78:30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani, 2 hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao, 1
Isaiah 37:29Kwa sababu unaghadhibika na ufidhuli dhidi yangu, 2 na kwa sababu ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.