1 Wathesalonike 3:8
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For now we live, if ye stand fast in the Lord.
In Context
7Basi, habari za imani yenu zimetutia moyo katika taabu na mateso yetu yote,
Cross References
John 8:31Basi, Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkiyazingatia mafundisho yangu mtakuwa kweli wanafunzi wangu.
John 15:7Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi, ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.
1 Corinthians 15:58Basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea bure.
Galatians 5:1Kristo alitupa uhuru akataka tubaki huru. Basi, simameni imara wala msikubali tena kuwa chini ya nira ya utumwa.
Ephesians 4:15Ila, sisi tukisema ukweli kwa moyo wa mapendo tutakua zidi katika kila jambo kulingana na Kristo ambaye ndiye kichwa;