1 Wathesalonike 5:26
Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Greet all the brethren with an holy kiss.
In Context
25Ndugu, tuombeeni na sisi pia.
27Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Cross References
Romans 16:16Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa ishara ya upendo. Salamu kwenu kutoka kwa makanisa yote ya Kristo.