1 Wathesalonike 5:27
Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I charge you by the Lord that this epistle be read unto all the holy brethren.
In Context
26Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.
28Tunawatakieni neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Cross References
Matthew 26:63Lakini Yesu akakaa kimya. Kuhani Mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, twambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu!”
Acts 19:13Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo wabaya, walisafiri huko na huko, wakijaribu kulitumia jina la Bwana Yesu kwa wale waliokuwa wamepagawa na pepo wabaya. Walikuwa wakisema: “Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri.”
1 Thessalonians 2:11Mnajua kwamba sisi tulimtendea kila mmoja wenu kama vile baba anavyowatendea watoto wake mwenyewe.
1 Timothy 1:3Napenda ukae huko Efeso, kama nilivyokuomba nilipokuwa ninakwenda Makedonia. Wako watu fulani huko wanaofundisha mafundisho ya uongo. Wakomeshe watu hao.