1 Wathesalonike 5:25
Ndugu, tuombeeni na sisi pia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
24Yeye anayewaita ninyi atafanya hivyo kwani ni mwaminifu.
26Wasalimuni ndugu wote kwa ishara ya upendo.
Cross References
Romans 15:30Basi, ndugu zangu, nawasihi kwa kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo, na kwa ajili ya upendo uletwao na Roho, mniunge mkono kwa kuniombea kwa Mungu.
Ephesians 6:18Salini daima, mkiomba msaada wa Mungu. Salini kila wakati kwa nguvu ya Roho. Kesheni bila kuchoka mkisali kwa ajili ya watu wote wa Mungu.
Colossians 4:3Vilevile, mtuombee sisi pia ili Mungu atupe fursa ya kuuhubiri ujumbe wake kuhusu siri ya Kristo. Kwa ajili hiyo mimi niko sasa kifungoni.
Philemon 1:22Pamoja na hayo, nitayarishie chumba kwani natumaini kwamba kwa sala zenu, Mungu atanijalia niwatembeleeni.