1 Wathesalonike 5:28
Tunawatakieni neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The grace of our Lord Jesus Christ be with you. Amen.
In Context
27Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Cross References
Romans 1:7Basi, ninawaandikia ninyi nyote mlioko Roma ambao Mungu anawapenda, akawateua muwe watu wake. Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Romans 16:23Gayo, mwenyeji wangu, pamoja na kanisa lote linalokutana kwake, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto, wanawasalimu.
2 Thessalonians 3:18Tunawatakieni nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.