1 Timotheo 5:2
wanawake wazee kama mama yako, na wasichana kama dada zako, kwa usafi wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The elder women as mothers; the younger as sisters, with all purity.
In Context
1Usimkemee mtu mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana kama ndugu zako,
3Waheshimu wanawake wajane walio wajane kweli.
Cross References
John 19:26Yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake: “Mama! Tazama, huyo ndiye mwanao.”
1 Thessalonians 5:22na epukeni kila aina ya uovu.
1 Timothy 5:3Waheshimu wanawake wajane walio wajane kweli.