2 Chronicles 1:8
Solomoni akamjibu Mungu, “Umemwonyesha baba yangu Daudi fadhili nyingi, nawe umeniweka niwe mfalme mahali pake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Usiku ule Mungu akamtokea Solomoni na kumwambia, “Omba lolote utakalo nikupe.”
Cross References
2 Samuel 12:7Ndipo Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.
1 Chronicles 17:16Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema: “Mimi ni nani, Ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
1 Chronicles 29:23Solomoni akaketi kwenye kiti cha enzi cha Bwana kuwa mfalme mahali pa Daudi baba yake. Akafanikiwa sana na Israeli wote wakamtii.
Psalms 86:13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; 2 umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi. + 86:13 Yaani Kuzimu. 1
Psalms 89:49Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, 2 ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi? 1