2 Chronicles 10:6
Kisha Mfalme Rehoboamu akataka shauri kwa wazee ambao walimtumikia Solomoni baba yake wakati wa uhai wake akawauliza, “Mnanishauri nini katika kuwajibu watu hawa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Rehoboamu akajibu, “Nendeni kwa muda wa siku tatu na kisha mnirudie.” Basi watu wakaenda zao.
Cross References
2 Samuel 17:5Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwariki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Job 12:12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? 2 Je, maisha marefu hayaleti ufahamu? 1
Proverbs 12:15Njia ya mpumbavu huonekana sawa 2 machoni pake mwenyewe, 2 bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 1
Proverbs 27:10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako, 2 tena usiende nyumbani mwa ndugu yako 2 wakati umepatwa na maafa. 1 Bora jirani wa karibu 2 kuliko ndugu aliye mbali. 1
Jeremiah 42:20kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa Bwana Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe Bwana Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’