Proverbs 12:15
Njia ya mpumbavu huonekana sawa 2 machoni pake mwenyewe, 2 bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The way of a fool is right in his own eyes: but he that hearkeneth unto counsel is wise.
In Context
16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, 2 bali mtu wa busara hupuuza matukano. 1
Cross References
Proverbs 1:5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, 2 wenye kupambanua na wapate mwongozo; 1
Proverbs 9:9Mfundishe mtu mwenye hekima 2 naye atakuwa na hekima zaidi; 1 mfundishe mtu mwadilifu 2 naye atazidi kufundishika. 1
Proverbs 13:10Kiburi huzalisha magomvi tu, 2 bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 1
Proverbs 14:16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, 2 bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 1
Proverbs 16:25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Proverbs 21:2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, 2 bali Bwana huupima moyo. 1